Wale wa Old Skool: Piggy wa Black huyu hapa

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,128
Reaction score
21,885
Nini mnataka mazee, ni among hit ninayoikumbuka sana kipindi kile cha kuharibu tape za washua unarecord bongo fleva halafu mzee akija gundua anakupa kipondo balaa lakini still unaendelea kurecord tu.
 
Attachments

donlucchese,umekuwa mwokozi wa ng'ambo coz nimeitafuta sana hii ngoma,ubarikiwe sana
 
Duh aisee mazee enzi hizo niliharibu sana tape za brooh si mchezo ningewapa ya mwanafa na jay dee SITOAMKA pa attachment sipaoni hapa huh!!
ththanx man donlucchese kwa Pigblack niliitafuta sana yaani
 
Kuna ngoma ya mshkaji inaitwa 'nafanya nini' nadhani, yuko na Blue. Ndio ya mwisho kuiskia kutoka kwake, kama unayo ipandishe tafadhali
 
Kuna ngoma ya mshkaji inaitwa 'nafanya nini' nadhani, yuko na Blue. Ndio ya mwisho kuiskia kutoka kwake, kama unayo ipandishe tafadhali
Hilo nalo ni bonge la go ma nmelitafuta sana lkn mpaka leo sijapata
 
Kuna ngoma ya mshkaji inaitwa 'nafanya nini' nadhani, yuko na Blue. Ndio ya mwisho kuiskia kutoka kwake, kama unayo ipandishe tafadhali

Hiyo ngoma inaitwa NISIKILIZE PIG BLACK FT BLUE INGIA YOU TUBE NOW ANDIKA HIVO THEN UTAISIKILIZA RIGHT NOW
 
Audio yake ninae ila ku i attach hapa ndio issue sasa
 
Jamani kuna mwenye link ya nyimbo ya OCG inaitwa Kazeze ile ya ukimwi
 
duu pig black kitambo kinoma maskani yao ilikuwa posta mpya ndio nilikuwa nnawaona walikuwa wanajiita zero brain.
 
Washikaji huyu mtu "PIG BLACK" home boy pande za Kiwalani /Kiwabize /Kiwaclan /Kiwaside kitambo sana...pamoja sana kwa ku-show love kwa mwana!!!
 
walume tumejikita geto tunaaaa...tunablaiiiiiize.huyu jamaa yupo wapi aisee,alikuwa na flow za kipekee sana bongo.popote alipo mrudisheni kwenye game,anaweza sana,aje awafundishe vijana kuflow
 
Leo ndio nimegunduwa hili jukwaa limejaa watoto, yani Pig black naye anaitwa mtu wa oldies!? my foot.....

Hawa wato wa free dogs camp, Pig black, Ommy G na Nalenale mimi nawaona ni watoto wa juzi tu sasa kuwaweka kwenye old school sijui kama unajuwa maana yake.
 
Nini mnataka mazee, ni among hit ninayoikumbuka sana kipindi kile cha kuharibu tape za washua unarecord bongo fleva halafu mzee akija gundua anakupa kipondo balaa lakini still unaendelea kurecord tu.

mkuu with all due respect,naomba uniwekee wimbo huu-beef na hela by Dark Master ft Ngwair,produced by P-Funk Majani!!!
 
Hivi huyi jamaa ndo aliimbaga kindumbwendumbwe na Akina Slaughter??
 
Watoto Wa juzi kwako nasababu zako, usitufanyee Kama sisi wajuzi ile hali hata wewe huelewii unachokizungumzaa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…