Wale wa SAUT malimbe

miss username

Member
Joined
Mar 30, 2013
Posts
78
Reaction score
28
jaman hebu nijuzeni kuhusu bum linatoka lini?
jana tulitangaziwa kuwa leo mchana tungewekewa but till now nothing
nani mwenye update ya uhakika?
wengine tuna cku tatu tunashindia chai tu
 
Pesa zoooooooooooooooooote zimeelekezwa katika uchunguzi wa mlipuko wa bomu Arusha....
 
poleni sana hata sisi tumepita huko lakini mkipata tumieni vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…