Ze Blessed
Senior Member
- Aug 12, 2012
- 123
- 13
Hata cjakuelewa
mkuu Henry Temu umeona wap dakta akaelewa mambo ya sheria.....mkuu Ze Blessed thanks 4 info!!!!
wapi source???
huo mgawanyo ambao nimeuweka hapo, ni kwa kesi ya agricultural eng kama mfano, cjajua kwa facult nyngne lakini meal and acomodatin, book and stationary ni sawa kwa kila mwanachuo, so kama unajua unaenda field kwa siku ngapi utaweza jua boad wameigawanya vp hela yako.
Mdogo wangu karibu SUA lakini natumai hapo kwenye nyekundu hukukusudia!
sawa ze blessed nimeona hiyo full allocation kwenye web yao,thanks!
Kak vp agrbusnes
Jaman kuna watu walipangiwa agrbusnes ila majna hayakuonekana huko vp kuhusu hawa na mikopo yao imetupiwa huko je itakuwaje?
kaka eeh, kuhusu hlo suala cjafahamu kwa sasa ila mwanzoni ilikuwa hv, ilionekana agr b. ilchukua idadai kubwa ya wanafunzi ndipo chuo kikaamua kurudisha baadh ya majina tcu kwa ajili ya uteuz mpya, na kuna jamaa angu m1 alipangiwa hyo course lakini kwa sasa kapangwa civil mist. So cjajua kwa upande wako, may be tafuta m2 alyeko karibu afuatilie jina lako sua au uende tcu kwenyewe ukawaulize, yan kuhusu chuo lickupe shda kabisa nafasi yako ipo.
Kila la heri
so kma mi stak couse nyngne zaidi ya hyo agrbus? Na chuo kitajaaje?kiukwel kak mi mpka mahakamani nadai haki yangu tu.siko teyar kwa koz nyngne mi ni wa agrbusne tu.nipe ushaur brother
hapo kikubwa cha kufanya, fuatilia sua kwanza kama jina lako waliltoa tena kwa mara ya pili, na ikishindikana wafate tcu wenyewe ongea nao watakuelewa, kwa kufanya hvyo utafanikisha kaka.
poa kak kw sabæbu nimefka dar kesho nitakwenda tcu nikawaskilizie ila haki yangu hata kama sna pesa haito potea nitakwenda vyombo vya habr rushwa njenje hii.