ndupa JF-Expert Member Joined Jan 25, 2008 Posts 4,403 Reaction score 148 Oct 2, 2012 #21 georgeallen said: Hivi SUA iko wapi na wanafundisha nini vile? Click to expand... ivi mkuu umekusudia au umekurupuka!!! na unauliza ili ujue au utanie watu na kama huijui sua hadi basi hata kama nikikwambia kamwe hutaijua...rekebisha ushirikiano wako na akili yako kwanza ndo uongee....
georgeallen said: Hivi SUA iko wapi na wanafundisha nini vile? Click to expand... ivi mkuu umekusudia au umekurupuka!!! na unauliza ili ujue au utanie watu na kama huijui sua hadi basi hata kama nikikwambia kamwe hutaijua...rekebisha ushirikiano wako na akili yako kwanza ndo uongee....