Wale wa SUA mkopo huu hapa

mara ya kwanza unapewa 650...weka 300 kando likitoka la pili chukua 100...plus na ile ya mwanzo unakua na 450...kanunue mashine

300+100=400 sasa wewe hiyo 450 umeitoa wapi au hesabu ndo vile tena then kama atakuwa na hyo 400 mashine gani atanunua labda Dell latitude used computer anaweza kupata kwa 350 yenye Win XP
 
Mimi nipo sua BTM na sijaona jina langu kwa waliopata mkopo nisaidien wadau
 
mkuu nichekie kijana wangu huyu s0631/0140/2011

[table="width: 679"]
[tr]
[td]sn

[/td]
[td]indexno
[/td]
[td]inst
[/td]
[td]sex
[/td]
[td]course/yos
[/td]
[td]name
[/td]
[td]ma
[/td]
[td]bs
[/td]
[td]srf
[/td]
[td]tuition
[/td]
[td]total amt
[/td]
[td]accyr
[/td]
[/tr]
[tr]
[td]1271
[/td]
[td]s0241.0016.2011
[/td]
[td]sua
[/td]
[td]f
[/td]
[td]bsesm 1
[/td]
[td]1 bisese, donavina a
[/td]
[td]1980000
[/td]
[td]200000
[/td]
[td]200000
[/td]
[td]93000
[/td]
[td]2593000
[/td]
[td]2014/15
[/td]
[/tr]
[tr]
[td]1272
[/td]
[td]s0202.0149.2011
[/td]
[td]sua
[/td]
[td]f
[/td]
[td]bsesm 1
[/td]
[td]boniphace, suzana
[/td]
[td]1980000
[/td]
[td]200000
[/td]
[td]200000
[/td]
[td]1043000
[/td]
[td]3543000
[/td]
[td]2014/15
[/td]
[/tr]
[tr]
[td]1273
[/td]
[td]s0201.0068.2011
[/td]
[td]sua
[/td]
[td]f
[/td]
[td]bsesm 1
[/td]
[td]challe, emilia
[/td]
[td]1980000
[/td]
[td]200000
[/td]
[td]200000
[/td]
[td]1043000
[/td]
[td]3543000
[/td]
[td]2014/15
[/td]
[/tr]
[tr]
[td]1274
[/td]
[td]s0201.0068.2011
[/td]
[td]sua
[/td]
[td]f
[/td]
[td]bsesm 1
[/td]
[td]changa, lilian p
[/td]
[td]1980000
[/td]
[td]200000
[/td]
[td]200000
[/td]
[td]1043000
[/td]
[td]3543000
[/td]
[td]2014/15
[/td]
[/tr]
[tr]
[td]1275
[/td]
[td]s0631.0140.2011
[/td]
[td]sua
[/td]
[td]m
[/td]
[td]bsesm 1
[/td]
[td]charles, stanley
[/td]
[td]1980000
[/td]
[td]200000
[/td]
[td]200000
[/td]
[td]223000
[/td]
[td]2723000
[/td]
[td]2014/15
[/td]
[/tr]
[tr]
[td]1276
[/td]
[td]s0220.0028.2011
[/td]
[td]sua
[/td]
[td]f
[/td]
[td]bsesm 1
[/td]
[td]chengelela, grace
[/td]
[td]1980000
[/td]
[td]200000
[/td]
[td]200000
[/td]
[td]1043000
[/td]
[td]3543000
[/td]
[td]2014/15
[/td]
[/tr]
[tr]
[td]1277
[/td]
[td]s3106.0022.2011
[/td]
[td]sua
[/td]
[td]m
[/td]
[td]bsesm 1
[/td]
[td]chogga, agrey joseph
[/td]
[td]1980000
[/td]
[td]200000
[/td]
[td]200000
[/td]
[td]106000
[/td]
[td]2606000
[/td]
[td]2014/15
[/td]
[/tr]
[/table]
 
300+100=400 sasa wewe hiyo 450 umeitoa wapi au hesabu ndo vile tena then kama atakuwa na hyo 400 mashine gani atanunua labda Dell latitude used computer anaweza kupata kwa 350 yenye Win XP

sasa unafiki hawezi pata hiyo delk
 
sasa unafiki hawezi pata hiyo delk

Suala sio kupata mashine suala n kupata mashine nzuri itayomsaidia maisha yote ya shule ila kama anataka pc kwa ajili ya kuangalizia movie hata akiwa na laki 250 anapata
 
Suala sio kupata mashine suala n kupata mashine nzuri itayomsaidia maisha yote ya shule ila kama anataka pc kwa ajili ya kuangalizia movie hata akiwa na laki 250 anapata

tena kwa taarifa yaki pc ya kusomea hata Fujitsu ya mchina yenye hard disc 120G inafaaa maana zaidi vijana wanajaza movie hiyo disc ni enough for reading materials sana. hayo ma PC yenye hard700g ni kwa ajiri ya movie
 
Anyway sijajua unaenda/unasoma coz gani kumbe kazi ya pc n kusomea madesa na kuangalizia movie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…