wale wa sua

wale wa sua

Deusbaraka

Member
Joined
Jul 15, 2013
Posts
19
Reaction score
0
baada ya kufungua page ya tcu nimekuta nimechaguliwa tcu, lakini sijaelewa procedure za registration pamoja na jinsi ya kupata hostel. kwa yeyote anayefafamu naomba anijuze.:help:
 
we nenda chuo,ss we unataka ufanyie registration sebuleni kwenu?!khs hostel na mpka ufke chuo na usajiliwe!embu acha wenge kaka!
 
Anaeuliza anataka kujua kama huna jibu la kumpa au hujui anachokiuliza ni heri kukaa kimya kuliko kumjibu vibaya, jiheshimu uheshimiwe.
 
Registration inafanyika chuoni ikiwa ushakamilisha Ada na michango mingine yote kama utapata boom utalipa Ada % unauohitajika kulipa taratibu za hostel mtapangiwa Chuo, nimekusaidia ila sipo sua kila chuo utaratibu upo ivyo.
 
baada ya kufungua page ya tcu nimekuta nimechaguliwa tcu, lakini sijaelewa procedure za registration pamoja na jinsi ya kupata hostel. kwa yeyote anayefafamu naomba anijuze.:help:

Umekuta umechaguliwa tcu. kama hujui procedures za registration pamoja na jinsi ya kupata hostel si uende tcu watakuuza?

kama umepangiwa chuo.
nenda chuo ulichopangiwa.
procedure za registration utapata chuoni na accomodation watakuelekeza.
 
usiogope kijana mi nipo pale second year kama ni agribiznessntafute through 0764673557
 
Back
Top Bottom