baada ya kufungua page ya tcu nimekuta nimechaguliwa tcu, lakini sijaelewa procedure za registration pamoja na jinsi ya kupata hostel. kwa yeyote anayefafamu naomba anijuze.:help:
Registration inafanyika chuoni ikiwa ushakamilisha Ada na michango mingine yote kama utapata boom utalipa Ada % unauohitajika kulipa taratibu za hostel mtapangiwa Chuo, nimekusaidia ila sipo sua kila chuo utaratibu upo ivyo.