Wale wa tia msaada jamani

Rahma2

Member
Joined
Feb 24, 2013
Posts
40
Reaction score
8
Habari ndugu zangu!
Kwa wale waliopangiwa TIA na wamepata mkopo chini ya 100 asilimia, registration ikoje? Msaada jamani.
 
Habari ndugu zangu!
Kwa wale waliopangiwa TIA na wamepata mkopo chini ya 100 asilimia, registration ikoje? Msaada jamani.

kwa mfano unachukua BBA ada ni 1295000. Then serikali imekulipia ada kwa njia ya mkopo tuseme 600000 ..utachotakiwa kufanya ni kulipa iliyobaki ambayo ni 695000 hapo unakuwa umelipa ada ya mwaka mzima au pia ukilipa 395000 unakuwa umelipa ya 1st semester, kuhusu usajili jisajili online kwenye student IS kupitia web yao then nenda chuoni stationary kuna form utatakiwa kuzinunua za registration na joining kama unayo with five passport size...
Maelekezo mengine utayapata hukohuko.
siku njema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…