Dah mkuu umeniwahi asee,me nilitaka kulitaja hilohilo under ceteris peribus- other factors remain constant. Namkumbuka sana mwalimu wangu wa uchumi mr. Mafikiri alikua hachoshi akiwa class mana ye kila kitu anachoongea lazima akitolee mfano na ni mtumiaji sana wa bible akiwa anafundisha #team umbwe