neno kama vile ceteris paribus,mimi binafsi ni ngumu sana kulisahau
neno kama vile ceteris paribus,mimi binafsi ni ngumu sana kulisahau
Wale wa minak boy Egm tuliomaliza pale mwk huu ,mnamkumbuka madam Sasu n noma anatisha .
daah ebana eco 1 zile hesabu yaan ukijua types of market na condition zakee pia demand na supply yaan umetokaa! Eco 2 hakuna topic nilizokuwa nazipenda kama FINANCIAL INSTITUTION, INTERNATIONAL TRADE, ECONOMIC INTEGRATION yaan full kuelewa hasa mkisoma mkiwa group discussion..! nakupenda sana ECONOMICS.., ECONOMICS UNANIPENDA! #TEAM EGM# tukutanee ardhi universty SCEM
Siwez kusahau neno scarcity km principle of econ
ndio kaka 2po pa1 quantity surveyor
Me kuna ile kanuni wanaita
"Law of Dimishing of utility" huwa na apply mpaka kwa mama yoyoyoo!??
duh we mkaree! hadi uko unaiapply iyo kitu aisee uchumi umekuharibu
Marginal product, total utility,
"how multiplier operate" jamani siwezi sahau hii kitu!
Ohoo dah me theory of investment
hahahahahaaha nakumbuka hio kitu mps,mpc..! Sema topic ya national income niliktuwa ciipend kivilee japokuwa ilikuwa na karibia maswali matatu kwenye national exam in eco 2