Wale wa UDSM tukutane hapa

Kizimbuzi

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2013
Posts
1,569
Reaction score
745
Mitihani ya Suplementary itaanza 16th September, 2013. Chuo kitafunguliwa 21st October, 2013.

Source: Waziri wa Elimu, DARUSO
 
naona umepitiwa kidogo mkuu,ni tarehe 21 October mkuu sio 22...
 
mmh!! almanac haisem ivo jaman!!!.funguen almanac muone.
 
mmh!! almanac haisem ivo jaman!!!.funguen almanac muone.

Kumetokea changes mkuu almanac haitaapply kwa hili suala...taarifa zimetolewa na Maboko mwenyewe ningejua kuattach doc ningeweka tangazo lenyewe...
 
Duuuu hapa mmetuweza yaaani nenda dar fanya sup rudi nyumbani subiri tarehe ya kufungua, hiyo ndio habari ya mjini.
 
Shikamoo sup

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
MAJANGA mie nitakuwa nshapata wa kunibeba
 
Dah kudadeki cjajua ntakuwa katika hali gani kiuchumi hadi muda huo
 
:kev:Makubwaaaaaaaaaaaaaaaaa madogo yana nafuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu BOOM SASA? Tutaishije?:humble:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…