Wale wa udsm.

kalipeni

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
1,571
Reaction score
1,328
Kwa wale waoijua vizuri udsm political science&public administration (PSPA), public administration au public relations &advertising, Ipi program nzuri ya kusoma na kwanini.
 
mkuu hapo ni wanao ijua vizuri USDSM au wanao zijua vizuri hizo degree programme ?
 
Kwa wale waoijua vizuri udsm political science&public administration (PSPA), public administration au public relations &advertising, Ipi program nzuri ya kusoma na kwanini.

zote njaaa 2 pole ungepga dip ya ed
 
Kwa wale waoijua vizuri udsm political science&public administration (PSPA), public administration au public relations &advertising, Ipi program nzuri ya kusoma na kwanini.

zote njaaa 2 pole ungepga dip ya ed miaka 2 kulko kupga hyo miak 3 then unasota ktaaa pole sana
 
Nataka wanaozijua kwa ud tu.
 
Sijaongelea ajira nataka kujua mazingira ya izo program kwa mlimani swala la ajira ni ishu nyingine kabisa kila mtu anachaneli zake na malengo yake na si kila mtu anaenda kusoma kwa lengo la kuajiriwa.
 
U never know my future plan,kama huna comment kaa kimya na c kila thread lazima uchangie ata kama hujui.
 
Bora piga PSPA maana PSPA unaweza base kwenye mambo ya international affairs etc etc hiyo advertising haijakaa kwere..maana ni mambo ya matangazo matangazo na public relations ambayo hta ukisoma PSPA huwezi shindwa fanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…