Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale waliopata bahat ya kupata chuo bora cha kimataifa udsm tufahamiane hapa na kusaidiana hapo pia second year na kuendelea pia 2nahtaj msaada wenu
ucpanik kjana ndo nyepecnyepec ya leo
Wadau hela ya hostel nakuja nayo ,? Ukiachana na direct cost, nijuzen wadau wa chuo cha taifa
Wadau nimeona
direct cost ni 77400 kama nikipata mkopo daraja A, Je pesa ya hostel ni sh. Ngapi?
ucpanik kjana ndo nyepecnyepec ya leo
si walisema one wik b4 open day ndo m2 anaweza kuchukua m nathan bado kjana
Duh kwa uandishi wako huu kweli vyuovikuu vimeingiliwa