Kwa taarifa nilizopewa n kwamb matokeo wameshamaliza kuchagua hao wanachuo wapya ila wamechelewa kutoa kixa n kwamb kuna w2 weng xana wamefoji cv zao ndo mana wakawa wamechelewa kutoa haya matokeo jaman 2we 2 na xubra wadau mana kama ipo ipo 2 !2xwe na haraka bl 2we na moyo wa ustahil 2