Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Hello nawasalimu kwa bashasha za ubaharia.
Kama rejea ya kichwa Cha habari ilivyo karibu tuseme machache kuhusu mazuri na maswahibu ya mzamo katika wilaya maarufu sana kwenye UGA wa mahaba wilaya pendwa ya Uvinza.
Binafsi Mimi nyakati za mazingira masafi huwa nainjoy matembezi ya eneo lote la Uvinza na hasa tarafa zake zote.
Mara kadha wa kadha pia nimekutana na uozo wa hatari ikiwemo mapunye na kufikia hatua ya kughaili ziara ya plan zote za hio wilaya pendwa.
Wakati wa ukaguzi wa miradi ya wilaya naanza nikiwa katika hali nzuri yenye mwanga wa kutosha.
Kwa hadidu zangu za rejea Giza sipatani nalo kwenye miradi ya Uvinza.
Nawasilisha kwa mjadala zaidi
Shukrani
Wadiz