Wale wadau wa kutembelea Uvinza kwenye UGA wa mahaba tuzungumze hali halisi na balaa lake

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Hello nawasalimu kwa bashasha za ubaharia.

Kama rejea ya kichwa Cha habari ilivyo karibu tuseme machache kuhusu mazuri na maswahibu ya mzamo katika wilaya maarufu sana kwenye UGA wa mahaba wilaya pendwa ya Uvinza.

Binafsi Mimi nyakati za mazingira masafi huwa nainjoy matembezi ya eneo lote la Uvinza na hasa tarafa zake zote.

Mara kadha wa kadha pia nimekutana na uozo wa hatari ikiwemo mapunye na kufikia hatua ya kughaili ziara ya plan zote za hio wilaya pendwa.

Wakati wa ukaguzi wa miradi ya wilaya naanza nikiwa katika hali nzuri yenye mwanga wa kutosha.

Kwa hadidu zangu za rejea Giza sipatani nalo kwenye miradi ya Uvinza.

Nawasilisha kwa mjadala zaidi

Shukrani

Wadiz
 
MUNGU AKUSAMEHE.

HAYA NDIO MADHARA YA PORNOGRAPHY.

NIKUSHAURI ACHA HUO USHENZI
HAKUNA MWANAUME WA MAANA ANAYEJITAMBUA AKAFANYA UPUMBAVU KAMA HUO.

ALAFU UNAKUJA KUHAMASISHA UPUMBAFU WAKO HAPA.


MADHARA YAKE.
1. Usitegemee kuheshimiwa na Huyo mwanamke.

2. Tegemea MARADHI mengi sana ya kinyawa na CANCER.

MUNGU AKUKEMEE.
 
Watu mna vipaji mnaendaje hyo wilaya 🤔🤔🤔siku nikienda huko nitatapika mwaka mzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…