Chomoa battery
Walimtia Upofu Manula akawa anauona mpira kama Mshale kudadadeki!! jamaa nuksi sana hao!Mkuu, nimewasomea washkaji huu mwandiko wako. Umetuvunja mbavu kwa vicheko hapa tulipo! πππ
-Kaveli-
Walimtia Upofu Manula akawa anauona mpira kama Mshale kudadadeki!! jamaa nuksi sana hao!
Bora hatuwaoni ila Kagere na hirizi hii ni aibu kwa mpira wetuuππTuwatakie safari njema!
Wale waganga wameondoka mda huu hapa temeke kwa baiskeli za Phoenix, wamebeba mafurushi yao mgongoni kama watalii. Leo wanatarajia kulala kibiti Insha Allah!!
Wapeni ushirikiano wenu wawapo safalini!
Ikiwezekana Mapokezi ya heshima kwa kazi kubwa waliyoifanya!
Nimecheka balaa, jamaa kaingia na bima ya afya!! Namkumbuka mbeba power bank wa timu enzi hizo (Papaa Ndaw). Ama kweli hasidi haachi asili.kagerevalienda na bima ya afya uwanjani
Kuna mmoja wao hao jamaa kwenye furushi lake anae chura mmoja mkubwa kama njiwa!..wanadai ana umri wa miaka 15 na miezi mitano!Hii thread imetuchekesha sana hapa kijiweni. Siku yetu imeenda poa sana kwa uzi huu. ππππ
-Kaveli-
Wamejitahidi kulazimisha draw na Mabingwa wa Tanzania Bwawani kuna sherehe kubwa sanaTuwatakie safari njema!
Wale waganga wameondoka mda huu hapa temeke kwa baiskeli za Phoenix, wamebeba mafurushi yao mgongoni kama watalii. Leo wanatarajia kulala kibiti Insha Allah!!
Wapeni ushirikiano wenu wawapo safalini!
Ikiwezekana Mapokezi ya heshima kwa kazi kubwa waliyoifanya!
hatari sanaNimecheka balaa, jamaa kaingia na bima ya afya!! Namkumbuka mbeba power bank wa timu enzi hizo (Papaa Ndaw). Ama kweli hasidi haachi asili.
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Usishangae wametekwa njiani ili apelekewe Mo awanunue, si unawajua Msimbazi walivyo na hela siku hizi? Na wakiwapata wale, Simba haifungwi hata na Liverpool!Tuwatakie safari njema!