Wale wagonjwa wenzangu wa pumu ( asthma ) tutamtufe Tembo atujambie ili tupone kimoja

POLE MKUU. PUMU NI UGONJWA WA MZIO,UNAWEZA JAMBIWA BADALA YA KUPONA UKAZUWA MENGINE! KUNA DAWA YA KUKUSAIDIA UKAISHI NA PUMU HATA MIAKA 10 -20 BILA KUKUSUMBUA NA UKASAHAU KAMA UNAPUMU LAKINI HAIPONI!!!
 
Hahahaaa na huo ugonjwa mwingine ulio nao ni lini utatibiwa?!!

Pole sana mkuu nnaimani hujapona pumu ila unajifariji tu. Ukihitaji kupona nitafute nikuhudumie. Sijaanza leo wengi wamepona kupitia kwangu.

Huo ugonjwa wangu mwingine ' Bi. Mkubwa ' wako kila siku huwa ananitibia tukiwa ' faragha '. Hajakutaarifu tu?
 
Huo ugonjwa wangu mwingine ' Bi. Mkubwa ' wako kila siku huwa ananitibia tukiwa ' faragha '. Hajakutaarifu tu?
Hahahaaa mficha maradhi ....
Mi nakufahamu ujue!?
wewe u mlemavu wa masikio au unataka nitupie picha yako hapa jamvini?
Unatukana kisa una Id nyingi sio?
Hahahaaa pole sana mkuu tatizo lako huwa haumalizi dozi, hata ile ya milembe nasikia ulikimbia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…