Wale wahamasishaji wa Forex kupitia Twitter wameshaunguza account ya mtu huko

Jamani hawa watu kila siku wanajifanya wanajua trade za forex na kujifanya ndio wanafahamu zaidi.

Mwengine huyu hapa na tunasubiria kusikia nani kamfanya kuunguza accountView attachment 2188322
Hadi nimeshajua weakness yake iko wapi. Na atazidi kupoteza. Wakuu hii kitu ni taaluma Kama taaluma zingine. Sio kuwa unakomaa na PDF baadaye eti umekuwa surgeon unaanza kupasua watu lazima watakufa Sana ndio hii akaunti inakufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…