Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
Kawaida ya FURSA huwa zinatoa picha nyingii za mafanikio.Kaunguza ye mwenyewe aliemtuma afungue possition zote nani na hadi loss inafika uko hafungi tuu soko la babu yake hili
View attachment 2188335
.... Salio lako la M-Pesa ni .......Kaunguza ye mwenyewe aliemtuma afungue possition zote nani na hadi loss inafika uko hafungi tuu soko la babu yake hili
View attachment 2188335
huyu ni tapeli,asiaminike tena.Kaunguza ye mwenyewe aliemtuma afungue possition zote nani na hadi loss inafika uko hafungi tuu soko la babu yake hili
View attachment 2188335
kuna madaraja (tier)Hivi salio la Mpesa mwisho kabisa kuwa kwenye account ni kiasi gani?
Hivi salio la Mpesa mwisho kabisa kuwa kwenye account ni kiasi gani?
Niliona kwenye tarrif poster yao wanasemaMi sijuagi ila hadi ml 100 inakaa ni kama unawekeza tu so hamna kipimo maana zinazokaa ni namba tu
Niliona kwenye tarrif poster yao wanasema
"You can have up to 10m in your account" sasa nawaza zaidi ya 10m imekaaje..
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
😂Kaunguza ye mwenyewe aliemtuma afungue possition zote nani na hadi loss inafika uko hafungi tuu soko la babu yake hili
View attachment 2188335
Umeingiza transaction id kwenye system??Fake Mpesa Balance,
Why you lie?
100MHivi salio la Mpesa mwisho kabisa kuwa kwenye account ni kiasi gani?
Kachakachua NYIEEE[emoji38][emoji38][emoji38]Duuuh! Kwanza imeandikwa salio lako ni mpesa badala sakio lako la mpesa.
Bado hujaiva mkuu siku ukiiva utajua namaanisha nini. Trader is the one who can win his emotions Mana hapa umepost hizi na loss inatakiwa uposti pia na usisahau withdraw na pia kale badge la real Kuna demo zinazo hako ka Nembo ka real.
mmmmh ! Au siyoKaunguza ye mwenyewe aliemtuma afungue possition zote nani na hadi loss inafika uko hafungi tuu soko la babu yake hili
View attachment 2188335
Tier 3 naona moslty ni Makampuni/biashara tena zikizokua registered mana naona kuna Tin na kuna Biz lisence, ila kama ni hizo personal mwamba katupiga
Unaishift vipi lain kutoka daraja moja hadi la 3?kuna madaraja (tier)
Daraja la kwanza ukomo ni Tshs 2 million (sina hakika kama kuna mabadiriko)
Daraja la pili mpaka 5 MILLION
kuna daraja la tatu nk