Francis fares Maro
JF-Expert Member
- Jun 20, 2021
- 1,227
- 1,339
Hapa ndipo mnapo onekana matapeli sasa!!... Wakati watu wengi Wana lalama kupigwa wewe Una sema Una fundisha na uliowafundisha wanafanikiwa kama Jeff Mwenzako ana wapiga wenzake huko!!..Alafu ana account fake kibao kwenye mitandao [emoji23][emoji23]!!...Jeff wakati flani kuna Tapeli Mwenzake alitumia account kujifanya kapiga fedha ndefu alafu Jeff akaingia kingi kuomba fedha za maji!!..Tukaletewa mkeka wote na ukweli ni kwamba kwenye hii biashara yenu kukosa ni 95%..Jeff amepiga block watu wote tuliopata mkeka wake wa kuomba fedha za maji na kujifanya ana cancer [emoji23][emoji23]Nitapeli ili iweje kwni kunasehmuu nimeweka nauz signal au natoa mentorship, uzuri wanonifuata wote nawafundisha bure, na wengi wametoboa ,na sifanyi tena imetosha,
Fx nimeijua 5 years ago humu humu jf izo withdrawal ya 5000$i harufu tu ya pesa kwa trader wengine