mkemiamkuu
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 355
- 284
Forest karibu na Shule ya Sekondari Meta..Mbalizi RDBlessedhope unapatikana wapi?
Sumbawanga karibu na Kizwite...ndo wapi agata?
I see umenikumbusha mbali sana mkuuIfumbo
Sehemu ganiVwawa Hapa
HaaaaMwakata wuli mwe wantu wakwe Lesa?
Haaaaamwakata wa kwetu....sikijui vizuri aiseee
Shm ganKinondoni Hapa
Uti mwakata mpozile....Haaaaa
Itakua Ichenjezya!au Mbimba..nawamis sana hukoSehemu gani
Jamani Mzee Jengela yupo huko Itende...BOSS...alikua mfugaji wa ng'ombe wa maziwa mzuri sanaIpinda moja bondeni kyela na njia panda itende
Wewe unatokea shm ganItakua Ichenjezya!au Mbimba..nawamis sana huko
Yes,kitu parachichi na ugali na boga yyt ,juice ya parachichi,acha kabisa kwetu raha sanaparachichi bhana,ndizi za kuchoma hukausha mwili mbona
Chunya mjini,Chunya kati,Kiwanja.....stamicoChunya kubwa mkuu.kuna chalangwa,makongolosi, lupa,isangawana.n.k
Kamwene yono unogageKamwene hapa
MapembeloVavene twuakwanye
Tunyande Coach hivi wapo hii familia?Tunyande hapa