GOLDGREEN9
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 351
- 221
Mbeya kubwa kamandaa
Anhaaa kumbe apoo...mi nko iyunga asee
Homesweet home swaxKinokwacha kalesa..mpozile kung'anda
Npo hapa maeneo ya mwaiseni Soweto johnkela juakali [emoji23] [emoji23] [emoji23]Chanji tukutane hapa
mbaliz maeneo gani mkuu? mapelele, zzk, utengule, tarafani, shigamba, au mlima reli?Mbaliz
Hivi namba one na Ntokela zinapakana? haya maeneo huwa yananichanganya sana, unapo tokea Uyole ndio unaanza na Namba one?Uporoto namba wani hapa
tukuyu wapi mkuu?Tukuyu
hapo kiwira ndio maskani,SIMIKE nearby META HOSPITAL,but muda mwingi nipo KIWIRA kikazi! tutafutane ili tufahamiane kwa wakazi wa nyanda za juu kusini!
hapo kiwira ndio maskani,
hapo kiwira ndio maskani mkuu karibu na shule ya msingi goje, ukitokea kituo cha polisi ile njia ya kwenda ilongoboto mbele kidogo ya makaburi ya waislamu, ila kwa sasa nipo mbalizi ndio nafanyia shughuli zangu huku.upo WAP mkuu,mi nipo kiwira-tandale, njoo tufahamiane
mwakufumaNpo hapa maeneo ya mwaiseni Soweto johnkela juakali [emoji23] [emoji23] [emoji23]
dah chanji kizitwe kantalamba imooooo nambie mrembooooChanji tukutane hapa
AsanteAnhaaa kumbe apoo...mi nko iyunga asee