Wale waishio mikoa ya nyanda za juu kusini, tufahamiane hapa

ok safi me nko kona ya meku hapa
dah hapo eh nakumbuka kwa barongo kuna msela alikuwa anaitwa joseph somebody anakaa karibu na kwa meku hapo kuna jamaa tulikuwa tunamuita mandumu au geofrey sikale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…