Buhaya boy
Member
- Jun 16, 2013
- 88
- 16
Vikoi ndo nini vina kazi gani?
Mhh nijuavyo mimi vikoi huvaliwa na kina babu wakiwa wamepumzika baada ya shughuli za mchana kutwa sasa huku tena sijui vimefata nini? lakini mkama ni tangazo basi Mod wapeleke mahala pake
Mi ukirudi naomba unifundishe namna ya kuvitengeneza. Maana nimegundua kijijini kwangu kuna fursa kuliko huku mjini nakozeeka bure.