Wale wajuvi, Njaa ya legulegu ilikuwa lini?

Wale wajuvi, Njaa ya legulegu ilikuwa lini?

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
7,914
Reaction score
10,793
Nimekaa na wazee hapa, wananiuliza maswali ya kihistoria.

Swali waliloniuliza ni hili la Njaa ya legulegu iliyoikumba Kanda ya ziwa! Ilikuwa ni mwaka gani?
 
Back
Top Bottom