Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa utaratibu wa kutanzania askari wa kiume haitakiwi kumkamata mtuhumiwa wa kike.Ni mpenda mazoezi na ukiwa nae huhitaji bouncers
Mpe namba zangu.Ni mpenda mazoezi na ukiwa nae huhitaji bouncers
Nakuja pm mkuuNi mpenda mazoezi na ukiwa nae huhitaji bouncers
Wakikamata wakina mama wa Chadema hizi ethics zinawekwa pembeni.Kwa utaratibu wa kutanzania askari wa kiume haitakiwi kumkamata mtuhumiwa wa kike.
Hii ingekuwa Tanzania sijui wanaharakati uchwara wangepayukaje? Lakn hapo kwa Mzungu wanaona fresh tu
Yupi wa chadema aliwahi kukamatwa hvi?Wakikamata wakina mama wa Chadema hizi ethics zinawekwa pembeni.
Sasa anapiga ikuli kweli huyo ndio wife kwelii? simtaki huyu ukimwambia sijapata senti leo anaanza kupiga ikulu 😉 😉Ni mpenda mazoezi na ukiwa nae huhitaji bouncers
Mbona mnaingizaga mambo ya Siasa hata mahali haikustahiliKwa utaratibu wa kutanzania askari wa kiume haitakiwi kumkamata mtuhumiwa wa kike.
Hii ingekuwa Tanzania sijui wanaharakati uchwara wangepayukaje? Lakn hapo kwa Mzungu wanaona fresh tu
Yupi wa chadema aliwahi kukamatwa hvi?