Wale wako single kuna huyu dada anatafuta mchumba

Polisi wa bongo wangemlima risasi tu.
 
Ni mpenda mazoezi na ukiwa nae huhitaji bouncers
Kwa utaratibu wa kutanzania askari wa kiume haitakiwi kumkamata mtuhumiwa wa kike.
Hii ingekuwa Tanzania sijui wanaharakati uchwara wangepayukaje? Lakn hapo kwa Mzungu wanaona fresh tu
 
Anataka kulete mambo ya I cant breath
 
Sasa mbona anawacha utamu nje..?
Ukioa huyu kifo kipo mlangoni pako zaidizaidi akushike umechepuka..πŸ˜…
 
Kwa utaratibu wa kutanzania askari wa kiume haitakiwi kumkamata mtuhumiwa wa kike.
Hii ingekuwa Tanzania sijui wanaharakati uchwara wangepayukaje? Lakn hapo kwa Mzungu wanaona fresh tu
Wakikamata wakina mama wa Chadema hizi ethics zinawekwa pembeni.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Kwa utaratibu wa kutanzania askari wa kiume haitakiwi kumkamata mtuhumiwa wa kike.
Hii ingekuwa Tanzania sijui wanaharakati uchwara wangepayukaje? Lakn hapo kwa Mzungu wanaona fresh tu
Mbona mnaingizaga mambo ya Siasa hata mahali haikustahili
 
Twende mbele turudi nyuma, sielewi inahusiana na kitu gani lakini kisheria polisi wa kiume hawatakiwi kukagua wala kuwakamata wahalifu/watuhumiwa wa kike!
 
Ndio maana tunasema kuwa kuna utofauti mkubwa kati ya polisi na takataka.
Hawa polisi hawajaona sababu ya kutumia nguvu kubwa au kutaka sifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…