Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Kwenye masomo ya Sheria kuna kitu kinaitwa haki ya kuvunja Sheria.Twende mbele turudi nyuma, sielewi inahusiana na kitu gani lakini kisheria polisi wa kiume hawatakiwi kukagua wala kuwakamata wahalifu/watuhumiwa wa kike!
Hawa askari ni sawa na wa Hamza, wanashindwaje wengine wakamvute mabega kwa ndani na kumdhibiti ili wafunge mlango?Ni mpenda mazoezi na ukiwa nae huhitaji bouncers
Kwa maneno mengine inaitwa for the best interest of serving a life.Kwenye masomo ya Sheria kuna kitu kinaitwa haki ya kuvunja Sheria.
Mfano: Mtu huruhusiwi kuingia chumbani kwa mtu bila ruhusa yake, lakini unaona moto unalipuka katika chumba cha jirani hapo utaruhusiwa kuingia kuokoa vitu au mtu pasi na ruhusa yake.
Umkute mtu anatukana au anavuta bangi au anabaka hutamshika kwakuwa ni jinsia tofauti?
Ok.
Understood?
Tofautisha matukio...Tukio la kutokea ghafla na la kupanga ni tofauti! ndio maana Police duniani kote wanaajiri pamoja na wanawake hiyo ikiwa ni kuplay part kwenye wahalifu wa kike....Tukio lolote la kumkamata mtu ni la kupanga!!Kwenye masomo ya Sheria kuna kitu kinaitwa haki ya kuvunja Sheria.