google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,623
- 13,759
Wanajamvi, poleni sana na hali ya uhaba wa sukari maana hata ukiumwa hiyo corona mgonjwa wake uji, sasa uji bila sukari mgonjwa anaweza kufa kwa kweli.
Maisha yanakwenda kasi hatari kuliko kasi ya covid 19 wazeiya, ni vizuri kukumbushana mambo yaliyoteka uwanja tukiwa wadogo. Japo sijawahi kubebeshwa kidogoro kwa kuyamwaga ya haja, lakini mara nyingi nimeshuhudia waliobebeshwa.
Kama na wewe umewahi kubebeshwa kigodoro au ndugu yako wa karibu tupe mkasa, alivyoanza kuyamwaga, kuzoea kuyamwaga mpaka kumtoa nje na videbe huku kabeba heshima zake juu juu. Je, ilikuwa ni suluhu kwako au kwake?
Karibuni.
Sent using Jamii Forums mobile app