google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,623
- 13,759
Nilikuwa nashangaa na wimbo wa kikojozii na nguo kaitia moto na ndani kuna viroboto huyoooooo.Nilikuwa kikojozi lakini hizo anga za kimataifa sikuwahi kuzifikia kusema kweli [emoji23][emoji23]
Ha ha ha! Mkuu kufikia hatua ya kukariri huo wimbo ni dhahiri wewe ulishawahi bebeshwa godoro na kutembezwa na hapa unafanya vetting ya kuwatambua wenzako ili muunde chama😂Nilikuwa nashangaa na wimbo wa kikojozii na nguo kaitia moto na ndani kuna viroboto huyoooooo.
Sijui kama nimeupatia wimbo wenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuujua haina maana na mimi nilikuwa wa kimataifa na hapa sina haja ya kuficha kitu. Sijawahi imbiwa hivyo.Ha ha ha! Mkuu kufikia hatua ya kukariri huo wimbo ni dhahiri wewe ulishawahi bebeshwa godoro na kutembezwa na hapa unafanya vetting ya kuwatambua wenzako ili muunde chama[emoji23]
Sawa lakini nakutakia uchambuzi mwema ktk kupata wanachama wako.Kuujua haina maana na mm nilikuwa wa kimataifa na hapa sina haja ya kuficha kitu. sijawahi imbiwa hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa nashangaa na wimbo wa kikojozii na nguo kaitia moto na ndani kuna viroboto huyoooooo.
Sijui kama nimeupatia wimbo wenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
alexander the great nimecheka sana kumbe kuna kindumbwe ndumbweUmepatia, ila unaanza na ile " kindumbwe ndumbwe afu wengine wanaitikia chaaliaa" inarudiwa na wanaitikia tena, then ndio inaendelea na hiyo extension yako.
Sema enzi hizo mtu mpaka apigiwe hilo songi ni lazima uwe legend afu kidizaini maskani wawe washaichoka tabia yako...
Alexander