Wale waliongia robo fainali ya CAF msimu huu bado rekodi haziwatambui

Manyanza

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
16,464
Reaction score
35,629
IMG-20240305-WA0010.jpg
 
Endelea kuishi kwa kufarahia hizo record zisizo na zawadi, wenzako msimu uliopita walipata record iliyokuwa na zawadi na kumbukumbu katika historia zao soka
Unajua sheria na kanuni mpya za kushiriki klabu Bigwa ya Dunia mzee kama hujui Rekodi za CAF champions leauge zitakua zinatumika
 
Unamaanisha aliye namba moja kwenye rank alifika hapo bila zawadi zilizotokana na mashindano yaliyompa point za kufika hapo?
 
Narudia, tz, haswa humu jf, kumejaa mijitu flani mipumbavu kuliko unavyofikiria.
 
Unajua sheria na kanuni mpya za kushiriki klabu Bigwa ya Dunia mzee kama hujui Rekodi za CAF champions leauge zitakua zinatumika
Bingwa wa klabu bingwa anafuzu moja kwa moja kucheza mashindano ya klabu bingwa wa Dunia.
Anachukuliwa mabingwa wa misimu minne na timu moja inachukuliwa kutokana na ranking.
Ila kwa mashindano ya msimu huu bingwa wa misimu mitatu ni Al Ahly na Wydad wamejirudia hivyo inalazimika kutuchukua timu mbili kwenye rank na bingwa wa msimu huu wa klabu bingwa. Ila kama bingwa atajirudia (Al Ahly) basi kutakuwa na nafasi ya timu tatu kwenye ranking.

Jambo la pili kwanza nikupe pole, hiyo record wala haihusiani kabisa na mashindano ya klabu bingwa.
Mfano ukiangalia Tp Mazembe na Asec wapo juu kwa record ya kushinda michezo mingi ya hatua ya makundi lakini kwenye mashindano ya klabu bingwa dunia TP Mazembe na Asec hawana vigezo vya kushiriki labda itokee wamebeba kombe la champions league.
 
kama unajua Timu mmoja inachukuliawa kutoka kwa Rank unasemaje Rekodi hazina Faida wakati unajua kadri unavyokua na Rekodi Nzuri Ndio unazidi kujenga klabu Rank muache kijana afrahie rekodi za klabu yake
 
Ndio maana nimekwambia ujui kitu, haya TP Mazembe yupo juu vipi atacheza klabu bingwa ya dunia kwavile yupo juu kwenye record?
 
Mzee Tp mazembe kwenye Clabu Rank yupo nafasi ya 9 nani kakwambia TP mazembe yupo juu think more mzee usikurupuke Wew ndio hujui kitu Maana hujui hata clabu Rank ikoje ok kwa kusaidia CAF jana wametoa Clabu Rank Nenda kacheki
 
Aisee hivi unacho comment unakisoma au unajiandikia tu? Hii mada iliyoletwa hapa umeelewa imewekwa record za nini? Kumbe mzee wewe ni brother 'K' umekurupuka. Record zilizowekwa hapa na mleta uzi hazihusiani na ranking ya CAF bali ni timu zinazoshikilia record ya kushinda mechi nyingi hatua ya makundi. Sasa hiyo record ya kushinda mechi nyingi inahusiana vipi na klabu bingwa dunia? Inahusiana vipi na ranking ya CAF? Ndio maana nikakuuliza hapo ukiangalia TP Mazembe anashika nafasi ya tatu kwenye record ni vipi hiyo record imfanye ashiriki klabu bingwa?
Tunajadili kilichowekwa na mleta uzi hilo la ranking sio kilichowasilishwa hapa.
 
  • Thanks
Reactions: BRN

asa wew na mim Nani ambaye hajaelewa embu kwa kufamisha mim nilikua nakujibu kwenye hii comment Na Ndio maana ukalizwa na huyo jamaa apo Nazani we ni slower leaner usizani mim nimekulupuka tu
Screenshot_20240305-200739.jpg
 
Back
Top Bottom