Wale waliopita kibaha sec na mazengo sec.

Mazengo complex,wazee wa PGN(punga,gima na nyuka) inaonekana ulikuwa unakaa ujamaa ile floor ya juu na haukuwa unamis nyuka.
 
mazengo complex,wazee wa pgn(punga,gima na nyuka) inaonekana ulikuwa unakaa ujamaa ile floor ya juu na haukuwa unamis nyuka.
we mchawi ?umejuaje? Maana nilikuwa nashuka white house kwa spidi kuwahi nyuka kwa mzee shede,jioni wali kwa kameme
 
Mimi nilipita kibaha sec 1997 mpaka 2000 na mazengo 2001 mpaka 2003.

Tupo tele on Air. Wu Zengo PGM 2000-2002,
Ww ni Evance yule uliyechukua EGM i am wrong...?
Mazengo Complex, Mwenge dom....
 
mkuu tupo sana kwa siri siri si unajua uku ni sehemu za kufyatua mabomu ...class mate wako apa wa kibaha remember .mkoba..ashura singano...evans..makange kilimali, nasra mondwa. khadija. kina matiko,joseph jumamne etc
 
tupo tele on air. Wu zengo pgm 2000-2002,
ww ni evance yule uliyechukua egm i am wrong...?
Mazengo complex, mwenge dom....

nilikuwa pcb na niliishi ujamaa. Nilijulikana kama balozi wa msalato nchini mazengo.unakumbuka mgomo wa kumtoa makunja?ulilala wapi?
 
mkuu tupo sana kwa siri siri si unajua uku ni sehemu za kufyatua mabomu ...class mate wako apa wa kibaha remember .mkoba..ashura singano...evans..makange kilimali, nasra mondwa. Khadija. Kina matiko,joseph jumamne etc

kweli mmejiandaa kwa mabomu,hujakosea kaka ,mlizoea kuniita ziroo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…