Wale waliosema zama za Waarabu kutawala mpira wa miguu Africa zimekwisha tunaomba wajitokeze

Wale waliosema zama za Waarabu kutawala mpira wa miguu Africa zimekwisha tunaomba wajitokeze

dos.

Mkuu, waswahili ndivyo tulivyo😀😀 maneno mengi mno. Wengine walikuja na maneno kemkem eti Waarabu wanaenda kupigwa nyingi huko South/Congo, yaani kuna mijitu ya ajabu humu!

Esperance wako vizuri sana, msimu huu hawajafungwa mchezo wowote wa klabu bingwa. Michezo 10 na wamefanikiwa kutinga hatua ya fainali.

Kwenye ligi kuu tunisia.. ligi 1 wamepoteza mchezo mmoja kati ya 20..wanaongoa ligi kwa tofauti ya alama 9. Wapo robo fainali ya tunisian cup now.

Esperance ni Barcelona ya Afrika, hawa jamaa nawaheshimu sana.
 
Zama za waarabu kwenye soka la Africa zitaisha siku mafuta yakiisha kwenye ardhi yao.
 
dos.2020,

Mimi sikusema hivyo na wala siamini hivyo...ila najitokeza kwa niaba yao. Unasemaje sasa Ndugu yangu. Nimejitokeza kwa niaba yao. Tehtehtehtehteh
 
Walikuemo humu lakini naona dah! wamepotea Aisee
 
Back
Top Bottom