kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 6,716
- 12,116
Najaribu kujiuliza maeneo ambayo watu wamemaliza kujenga viwanja vyao lakini pia wamejenga fences au uzio je wakifagia ,wakati mwingine wamekula matunda wanahitaji kutupa wanambinu gani mbadala wa kuziondoa takataka?