kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 6,716
- 12,116
Kuna magari yanapita mara moja kwa wiki wanakusanya takataka unawalipa kwa mwezi. Kwetu 4000/- tu.Najaribu kujiuliza maeneo ambayo watu wamemaliza kujenga viwanja vyao lakini pia wamejenga fences au uzio je wakifagia ,wakati mwingine wamekula matunda wanahitaji kutupa wanambinu gani mbadala wa kuziondoa takataka?
Upo mkoa gani mkuu, uku kwetu gari za taka zinakuja adi mlangoni mara2 kwa wiki huna haja ya shimo la taka, dustbeen inatosha.Najaribu kujiuliza maeneo ambayo watu wamemaliza kujenga viwanja vyao lakini pia wamejenga fences au uzio je wakifagia ,wakati mwingine wamekula matunda wanahitaji kutupa wanambinu gani mbadala wa kuziondoa takataka?
Dah,mzee hivi bado mnajalala la kuweka takataka dunia ya leo? Kwanza ni kukaribisha magonjwa, uchafu unawekwa kwenye ndoo maalum kwa zile take ngumu Tena ndoo zinazofunga kwa juu au mifuko ambayo haitoi ruhusa ya kisambaza harufu, gari za taka zinapita kila wiki kukusanya,kwanza ardhi yenyewe ilivyo adimu hapohapo upunguze kwa ajili ya shimo la taka.Najaribu kujiuliza maeneo ambayo watu wamemaliza kujenga viwanja vyao lakini pia wamejenga fences au uzio je wakifagia ,wakati mwingine wamekula matunda wanahitaji kutupa wanambinu gani mbadala wa kuziondoa takataka?
karibu mjini aiseeNajaribu kujiuliza maeneo ambayo watu wamemaliza kujenga viwanja vyao lakini pia wamejenga fences au uzio je wakifagia ,wakati mwingine wamekula matunda wanahitaji kutupa wanambinu gani mbadala wa kuziondoa takataka?
Senereta ni nini mkuu?Mkuu Kuna
Senereta ya kuchomea taka ,
Gari za manispaa, dampo.
Will bin lakupelekea kukusanyia na kubebea taka,..
possibly ana maana ya 'incinerator'Senereta ni nini mkuu?