MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,537
- 8,824
Uhamisho wa Wamasai tarafa ya Ngorongoro ilikuwa ni trela kwa sababu Mwarabua anaitaka sana ikibidi Loliondo nzima kwa ajili ya Utalii wa uwindaji na utalii wa Picha.
Kuna hitajika Wamasai 300, 000+ wahame Ngorongoro kupisga utalii wa Picha na uwindaji.
Kumbuka walio hamishiwa Handeni ni kutoka Tarafa ya Ngorongoro sasa wanao takiwa kuhama ni wale walioko tarafa zingine hasa jirani na Mwarabu kule Loliondo.
Kuna uwezekano Ngorongoro ikaja kufutwa kama wilaya kwa awamu hii na kubakia kama hifadhi na Mapoli ya akiba ambapo huko ndiko Mwaeabu anahitaji zaidi kwa ajili ya utalii wa Picha na utaliu wa Uwandaji pia.