Wakuu tusaidiane hapa kdg, mm nna mishe za kusoma sjuit arusha campus coz ya B.ed kwa mwaka 2014-2015.Sasa sijui masomo wanaanzaga mwez wa ngap na nimeapply kutoka chuon kabisa.
Kama umeomba kutoka chuo moja kwa moja,unashndwa kuwaulza kuwa masomo yanaanza lini! ACHA UVIVU nenda chuo na uwaulize masomo yataanza lini? na watakujibu.
Wakuu tusaidiane hapa kdg, mm nna mishe za kusoma sjuit arusha campus coz ya B.ed kwa mwaka 2014-2015.Sasa sijui masomo wanaanzaga mwez wa ngap na nimeapply kutoka chuon kabisa.
Kama we ni form six leaver mpaka mwezi wa kumi ila kama ni form four leaver tarehe inaweza ikawa kabla ya mwezi wa kumi.Cha msingi wapigie simu kupata uhakika zaidi au kama unaishi R chuga waibukie campus...