Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Ni PSG Vs Man Utd
Mechi ya marudiano baada ya ile ya kwanza Man Utd kufa 2-0 nyumbani OT.
Mimi naamini Man Utd atashinda mechi ya leo japo inawezekana asipindue matokeo on aggregate.
Its not over until its over! Mpira UNADUNDA...
Rtd.Lut Gen. James MwakibolwaMkuu Fortaleza samahani..natoka nje ya Mada kidogo,,huyo mwamba hapo kwenye profile yako ni nani...?
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee kumbeeDaaaah basi,yaani nikionaga jamaa umetabiri upande fulani huwa najua kinyume.Hujawahi patia yaani.Ushanivunja nguvu Man U katoka mpaka hapa.
Luteni Jenerali Mstaafu James MwakibolwaMkuu Fortaleza samahani..natoka nje ya Mada kidogo,,huyo mwamba hapo kwenye profile yako ni nani...?
Sent using Jamii Forums mobile app
Imepinduliwa kibabe.....
Man Utd ya Solskjaer daima inanikumbusha Man Utd ya Sir AlexNa hapo alikuwa na majeruhi 9 na kadi nyekundu moja.
The master mind...Kwa kikosi kīle aisee sikù tarajia ila Olle sio mtu wa mhezo
GGMU
Pamoja mkuu