Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #21
Ha ha ha haya bhana mkuuDaaaah basi,yaani nikionaga jamaa umetabiri upande fulani huwa najua kinyume.Hujawahi patia yaani.Ushanivunja nguvu Man U katoka mpaka hapa. 90 PSG 1 Man U 3. Samahani mtoa mada kumbe kuna muda saa mbovu husema ukweli.
Na mipango imetimia...
Una maanisha nini?
Hivi mkuu ile prediction yako ya epl top four 2017/18 , najaribu kuwaza kama ulibet ulipata kiasi gani?Usiku wa deni...
Hahah niliileta hapa jukwaani tu wala sikubet popote mkuu. Laiti ningebeti saa hizi ningekuwa milioneaHivi mkuu ile prediction yako ya epl top four 2017/18 , najaribu kuwaza kama ulibet ulipata kiasi gani?
Sent using simu mbovu