plan z
JF-Expert Member
- Jun 10, 2019
- 1,394
- 1,434
Habarini wakuu!
Mimi napenda sana magame ya high graphics yani ukilicheza unahisi kama vile movie au ni kweli kabisa.
Magame ni mengi sana sikuizi. Sasa naombeni mtaje magame ambayo ni HD mazuri ya kucheza na jinsi ya kuya-download.
Hii itasaidia hata wengine ambao wanatafuta magame ya kucheza wayapate kupitia hii thread.