Wale Wanaopenda High Graphics Games

plan z

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2019
Posts
1,394
Reaction score
1,434
Habarini wakuu!
Mimi napenda sana magame ya high graphics yani ukilicheza unahisi kama vile movie au ni kweli kabisa.

Magame ni mengi sana sikuizi. Sasa naombeni mtaje magame ambayo ni HD mazuri ya kucheza na jinsi ya kuya-download.

Hii itasaidia hata wengine ambao wanatafuta magame ya kucheza wayapate kupitia hii thread.
 
Kuna app ya blue light filter inachuja mwanga wa blue ambao unaumiza macho hasa wakati wa usiku.
Yaan kuna siku nlicheza sana game baada ya hapo nliisi macho kuum, na baadaye nikajiskia vibaya nikaenda kulala kama masaa mawili , kuamka nikawa flesh,,

Tokea kipindi hicho sijaludia tena kucheza magame,, bora ya simu ,,ila hayo ya pc sina ham nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…