wakuu naombeni mnipe info zaidi kuhusu ubora wa elimu inayotolewa, mazingira ya kusoma na ada zao zikoje mi nataka nipige dip ya clinical medicine Kwa matokeo yangu bios c chem c na phy d muda wa maombi ukifika nikatume!
unajua ukitaka ufanikiwe ktk wizara ya afya angalia chuo chenye usajili wa kudumu
Kwa nini mkuu una sema hivyoNakijua mvumi kwa sababu nilishafundisha hapo. Lakini nakushauri ungetafuta chuo cha serikali
Eng d ila math ndo nimehalibu nina f.ila nasikia mvumi wako vizuri sana nasikia wana hospitali yao ya wiraya na wanafuzi wanaruhusiwa kwenda hospitalini kutoa huduma.Vyuo vya serikali utapata experience nzuri zaidi na gharama ni nafuu zaidi. Kwa alama ulizozipata nina uhakika hautakosa chuo. Mathematics na English umepataje?
Kama una f ya mathematics then itakuwa vigumu kupata nafasi vyuo vya serikali, mvumi ni pazuri kama utaimudu ada yake
kolandoto kipo nje kidogo ya mji wa shinyanga. Nauli ni sh 1000 toka shinyanga mjini. Ni chuo kizuri sana na wanafunzi wao huwa wanaingia wodini pia kutoa tiba kwa wagonjwa mbalimbali kwani chuo hicho pia kina hospital yake. Karibu sana kolandoto.
Kaangalie vigezo wanavyotaka wizara ya afya alafu utajua nini watu wanafanya.unaenda kusoma diploma kabla ya certficate kwa ninavojua mimi diploma anasoma aliyehitimu kidato cha 6
Poa mkuu nimekusoma vp hivyo vyuo unavijua mkuu!
poa dogo mungu akipenda utanikuta pale cots vp unaishi dodoma kalibu na mvumiMvumi & kolandoto vyote hivi vina usajili wa kudumu xo we jipange andaa ada then ukapige pindi mm nimehitimu 2013 nataka nikachukue certificate ya maabara nina D sita kat ya hizo ya engl ipo kemia na bioz xo kama vp tutakutana mvumi paleee COTC wewe chukua clinical officer (uganga) then mm nachukua maabara
poa dogo mungu akipenda utanikuta pale cots vp unaishi dodoma kalibu na mvumi
Yap! naishi dom hapa hapa ila nipo town kisasa area chuo cha mvumi kipo nje kidogo ya mji ukiwa mjini hapa kwenda mvumi nauli sh.3000
Nasikia ni kikubwa sana alafu wanahospitali yao kubwa eti kweli! Na vp ada sh kwa diploma kama unafahamu
Vyuo vya serikali utapata experience nzuri zaidi na gharama ni nafuu zaidi. Kwa alama ulizozipata nina uhakika hautakosa chuo. Mathematics na English umepataje?