Wale wanaotarajia kuingia degree

Wale wanaotarajia kuingia degree

ericford

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
265
Reaction score
68
wakuu msaada wa vyuo gani ni vizuri kwa kuchukua degree hasa mambo ya business..tukiangalia pia na suala la cost katika hivyo vyuo
 
Subiri tcu watoe guidebook ya mwaka wa masomo 2015/2016 ndo kuna kila kitu maana ukisema utumie uzoef wa nyuma huwa kuna mabadlko y a kila mwaka mf.ada,course etc
 
njoo CBE mkuu hiki chuo kipo poa sana mwanang tofauti sana na na watu wanavyokizungumzia . hapa ndo elim ya business imelala karibu 90% ya wafanyakazi wa halimashauri zote Nchini watu wa hapa ndo watendaji . elimu ya hapa ni zaidi mkuu jitahidi japo fees iko juu kidogo
 
qualiffication zao zikoje mkuu

mussa mashala jr said:
Subiri tcu watoe guidebook ya mwaka wa masomo 2015/2016 ndo kuna kila kitu maana ukisema utumie uzoef wa nyuma huwa kuna mabadlko y a kila mwaka mf.ada,course etc

vuta subira kwenye icho kitabu wameweka kila kitu.
 
Bora ukaangalia soko la ajira kwanza kabla hujakalia kuti kavu
 
njoo CBE mkuu hiki chuo kipo poa sana mwanang tofauti sana na na watu wanavyokizungumzia . hapa ndo elim ya business imelala karibu 90% ya wafanyakazi wa halimashauri zote Nchini watu wa hapa ndo watendaji . elimu ya hapa ni zaidi mkuu jitahidi japo fees iko juu kidogo

CBE ipo mkoa gan mkuu?
 
Back
Top Bottom