Karibu mzumbe na TIA...
UKISHINDWA NENDA SMMUCO.
qualiffication zao zikoje mkuu
mussa mashala jr said:Subiri tcu watoe guidebook ya mwaka wa masomo 2015/2016 ndo kuna kila kitu maana ukisema utumie uzoef wa nyuma huwa kuna mabadlko y a kila mwaka mf.ada,course etc
vuta subira kwenye icho kitabu wameweka kila kitu.
njoo CBE mkuu hiki chuo kipo poa sana mwanang tofauti sana na na watu wanavyokizungumzia . hapa ndo elim ya business imelala karibu 90% ya wafanyakazi wa halimashauri zote Nchini watu wa hapa ndo watendaji . elimu ya hapa ni zaidi mkuu jitahidi japo fees iko juu kidogo