Hahahahaha...ππππTulitolewa kifunga uchumba na wanaume wenye suti waliokuja na ndege yao. Tuliambiwa kuna uwezekano wa kila mmoja wetu kusukuma Noah baada ya ndoa.
Mimi sili niniogopa kunenepa gauni la harusi lishindwe kuingia. Kama ndoa hakuna tujuzwe.
Usijali tafuta mchumba mwingine.Tulitolewa kifunga uchumba na wanaume wenye suti waliokuja na ndege yao. Tuliambiwa kuna uwezekano wa kila mmoja wetu kusukuma Noah baada ya ndoa.
Mimi sili niniogopa kunenepa gauni la harusi lishindwe kuingia. Kama ndoa hakuna tujuzwe.
Wamekuja kugundua kuwa kwenye ndoa mngesumbuana sana kwahyo wameingia mitini kama Tarzan