JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 2,118
- 4,863
Kuna mademu sijui wana pepo au wana majini au washirikina? Yaani ukimkuta kakaa kaunta ukikaa pembeni yake anaondoka, ukimkuta kaka kwenye siti ya daladala ukikaa pembeni yake ananyanyuka anampisha mtu akae au akikuta umekaa kwenye siti na kuna nafasi pembeni yako hakai hata kama siti zimejaa atasimama huwa wana matatizo gani?
Au akikaa ataweka earphones. Au ukikutana nae barabarani mko upande moja anavuka upande wa pili, au mkiongozana anasimama utangulie. Yani mtu huna time nae je Huwa wana mapepo au ni washirikina? Maana mademu wanaongoza kwenda kwa waganga na kutembea na hirizi.