Vito Corleone
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 2,418
- 5,257
Leo ni mara ya nne nakunywa smart gin naona kama nakunywa maji harufu yake ipo Ila stimu zinachelewa.
Nakunywa kitu nahisi kabisa kimechanganywa na H20.
Sasa kutokana na Hiyo suspicion Leo kabla sijafungua kisungura ikabidi nikikague.
Kwanza kufungua kitu sikutumia nguvu nahisi ni Ile stika mchongo ya tra ndio iliyoshikilia,then juu ya chupa nakuta fulu mvuke nkasema Gini inatoa mvuke kweli?
Hapa nimelewa nusu ninawenge na hasira sijui kwann wafanya biashara ni waroho hivi.
Yani mtu anakata kikali nusu anaweka maji nusu jamani tumefika huku?