Wale wapenzi wa burudani, Neyo & Diamond in Mwanza on 21st May

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
20,834
Reaction score
26,217
Wakazi wa kanda ya ziwa mko tayari!, Vodacom inakuletea tamasha la aina yake tarehe 21 May 2016 - Jembeka Festival litakalofanyikauwanja wa CCM-Kirumba.


 
Acha waje watapata vichwa vya kutosha tu
 
nilisikia king mapela ana kolabo na ne-yo vip tena
 
Na habari zilizonifikia hadi dakika hizi 70% ya tiketi zimeshauzwa, hii si ya kukosa mtu wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…