Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
We kuwakuwa kwanza!haya mambo ya kuogopa kurudi nyumbani saa sita Mimi nitakuchapa bure [emoji16]
Sijaona pic yako hadi sasaπ π₯We kuwakuwa kwanza!haya mambo ya kuogopa kurudi nyumbani saa sita Mimi nitakuchapa bure π
Miruzi mingi Sana Kama ya DJ Allyb ikufikie....cheeruπ₯π₯
Hapa hatuongelei muziki bwana!hapa tuna kikao kizito[emoji23][emoji23][emoji23] kukiwa na mziki na vibe kali sibanduki mpaka majogoo uliza wavuvi pale wananielewa
Ipo njiani inakujaπSijaona pic yako hadi sasaπ π₯
Lakini kinasindikizwa na mzikiHapa hatuongelei muziki bwana!hapa tuna kikao kizito
Wanywa whiskey wengi tunasindikiza na country music....Unazijua hizo nyimbo?Lakini kinasindikizwa na mziki
Au ni mnywa sodaπ€Ipo njiani inakujaπ
Embu imba nisikieWanywa whiskey wengi tunasindikiza na country music....Unazijua hizo nyimbo?
Mo chungwaAu ni mnywa sodaπ€
πππππJack tuheshimiane tafadhaliAu ni mnywa sodaπ€
Tupia kapicha basi ππππππJack tuheshimiane tafadhali
Si usema tu unapenda mo chungwa na mo malt ππππππJack tuheshimiane tafadhali
Akitupia usisahau kunitagTupia kapicha basi π
πππMsikilize Kenny Rogers,Don William,Dolly parton nk huko MitandaoniEmbu imba nisikie
Ww hujui kuimbaπππMsikilize Kenny Rogers,Don William,Dolly parton nk huko Mitandaoni
ππππππππKwa hiyo Mimi napenda vitamutamuSi usema tu unapenda mo chungwa na mo malt π
Kweli!mi listener tuWw hujui kuimba
Bas onge maneneo ya wimboKweli!mi listener tu